WAJAWAZITO WAHAMASISHWA KUWAHI KLINIKI MAPEMA.

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imetoa wito kwa Wajawazito kuhudhuria mapema kliniki ili kutoa muda wa kutosha kwa  Wataalamu kufanya uchunguzi na ufuatiliaji ili kuepusha dharura za kufanyiwa upasuaji wakati wa kujifungua. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt. Godwin Mollel katika kikao cha tisa cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,